MAONI YAKO
yana maana, hata iwe unaishi wapi, wewe ni nani au madharinyuma yako yalivyo. Ikiwa wewe ni mteja, unahitimu kufanya uchunguzi unaolipwa. Wanakukubalisha kujieleza na vilevile kulipwa kwa kueleza mawazo yako.
UCHUNGUZI UNAOLIPWA MTANDAONI - TAARIFA
Ikiwa unapendezwa na kueleza maoni yako kuhusu bidhaa na huduma za hivi karibuni, basi kufanya uchunguzi unaolipwa mtandaoni inaweza kuwa njia nzuri ya kupata pesa wakati wako wa mapumziko.
Kufanya uchunguzi mtandaoni kumedhihirisha kuwa njia halali na inayofurahisha ya kupata pesa kwenye mtandao. Kampuni za utafiti wa masoko huwa na maswali ambayo wangetaka yajibiwe, wanakulipa ili uyajibu,na vilevile wanaweza kufanya maamuzi bora ya kibiashara kuhusu bidhaa na huduma zao. Utapata kuona bidhaa mpya kabla hazijazinduliwa, unatoa maoni kuhusu njia za kufanya bidhaa ziwe bora zaidi na unalipwa kufanya hivyo. Hilo silo jambo mbaya la kufanya kwa kutumia dakika chache tu za muda wako.
Unaweza kuulizwa kupitia sehemu fupi za sinema mpya, kuhusu siagi ya karanga unayoipenda, migahawa unayoenda mara kwa mara, chochote kile. Inaweza kuwa ni jiko za kuchomea nyama, maswali ya kiafya au hata chakula ulichokula chajio ya usiku wa kuamkia leo.
Kuna tovoti za kipekee kwa kila rika, taaluma, burudani, na mapendekezo. Uchunguzi huu huwa wa kufurahisha na makampuni haya huwa yanatafuta maoni yako ya jinsi ya kutengeneza bidhaa zao. Wakati kampuni inapotafuta mwelekeo kuhusu mapendeleo ya wateja wake mara nyingi huwa wanatoa kandarasi kwa kampuni nyingine inayofanya utafiti kuhusu tabia za ununuzi na maoni kuhusu bidhaa na huduma zile, ambayo yanafaidi mteja anayefanyiwa uchunguzi. Hapa ndipo uchunguzi unaolipwa unapoingilia.
Uchunguzi unaolipwa umekuwa biashara kubwa. Na mbona umekuwa maarufu hivi? Unakubalisha watu kujieleza na wakati uleule kulipwa kwa kueleza mawazo yao. Jambo hili limeboreshwa na ukuzi wa matumizi ya mtandao. Na kwa sababu, kushiriki katika uchunguzi unaolipwa mtandaoni ina maana kuwa kufanya kazi ukiwa nyumbani kumekuwa rahisi kuliko hapo awali.
Uchunguzi mtandaoni unaendelea kuwa maarufu kwa sababu ni rahisi kwa anayeshiriki na vile vile kwa kampuni ya utafiti wa masoko. Watu zaidi na zaidi wanajisajili kwa uchunguzi unaolipwa mtandaoni kwa sababu ni rahisi, inafurahisha, na malipo ya mwisho wa mwezi yanaridhisha. Hii ni nafasi nzuri kwa wanafunzi, mama au baba anayekaa nyumbani, watu waliostaafu, au YEYOTE anayetaka kupata pesa za ziada. Haijalishi unakoishi, wewe ni nani, au mandharinyuma yako yalivyo. Ikiwa wewe ni mteja, maoni yako yana maana na unahitimu kufanya uchunguzi unaolipwa. Kila mtu anakaribishwa. Kumbuka: Maoni Yako Yana Maana!
MAHALI UNAKOWEZA KUPATA UCHUNGUZI UNAOLIPWA MTANDAONI?
Ili kuanza kupata pesa kutoka kwa uchunguzi unaolipwa, enda kwenye sehemu ya Uchunguzi Unaolipwa - Kujisajili na uangalie orodha yetu ya tovoti zenye uchunguzi unaolipwa, kisha ujisajili. Unaweza kujiunga na programu zilizoorodheshwa hapo na kuwa na uhakika kuwa utalipwa pesa au zawadi zingine bila masharti yaliyofichwa na bila kulipa hata senti. Makampuni yote yaliyoorodheswa hapo ni bora na unaweza kujiunga nao na pia yana wasifu mzuri. Huwa tunaorodhesha tu majopo bora ya utafiti wa masoko mtandaoni ambayo hayalipishi ada yoyote.
MAJOPO YANAYOPENDEKEZWA
MADOKEZO MUHIMU
Changamoto kubwa zaidi inayowakumba watu wanaoanza kufanya utafiti kwa mara ya kwanza ni kutokuwa na taarifa kuhusu shughuli yenyewe. Hapa pana baadhi ya madokezo yatakayokusaidia kupata mapato mazuri ya kuwa mmoja wa mwanajopo wa uchunguzi mtandaoni. Fuata madokezo haya mazuri ili kupata matokeo bora zaidi kwenye shughuli za kufanya uchunguzi mtandaoni.
Ankietki.com © 2007-2025