MAJOPO YA UCHUNGUZI MTANDAONI

Kufanya uchunguzi inaonekana kuwa njia maarufu ya kupata mapato zaidi. Je, mbona mashirika yako hiari kulipa watu ili kutoa maoni yao? Kwa sababu wanahitaji kujua kwa upesi ni nini ambacho wateja wanakitaka na pia ni watu wachache sana watakaojitolea kutoa taarifa hii bila malipo.

Angalia tovoti zifuatazo za uchunguzi unaolipwa mtandaoni na ujiunge nazo ili kuanza kupata pesa kutoka kwa uchunguzi unaolipwa. Unaweza kujiunga na programu zilizoorodheshwa hapo na kuwa na uhakika kuwa utalipwa pesa au zawadi zingine bila masharti yaliyofichwa na bila kulipa hata senti. Makampuni yote yaliyoorodheshwa hapo ni bora na unaweza kujiunga nao. Na pia yana wasifu mzuri. Huwa tu tunaorodhesha majopo bora ya utafiti wa masoko mtandaoni ambayo hayalipishi ada yoyote, na yanakubali wanachama wa kimataifa (mara nyingi.) Huwa tunatoa ufikivu wa hapo kwa hapo wa taarifa yote kwenye tovuti hii, kwa hivyo tia kipochi chako mfukoni, na utazame orodha yetu ya makampuni ya uchunguzi wa soko halali yaliyo na majopo ya uchunguzi unaolipwa. Kuwa unaitazama mara kwa mara kwani huwa tunasasisha ukurusa huu na toleo za kushiriki uchunguzi unaolipwa pesa yaliyo mapya na bora zaidi (yanayopatikana kwa watu dunia nzima) Jiunge na tovuti za uchunguzi unaolipwa nyingi kama uwezavyo ili kufikia upeo wa mapato yako.

Kila la heri na ufurahie!


Unataka kupata pesa zaidi mtandaoni? Jiunge na ySense sasa na uanze kupata pesa kwa shughuli zako mtandaoni, ikijumuisha: uchunguzi unaolipwa, kutembelea tovuti, kununua bidhaa kwenye mtandao, zawadi za bure, na mengineyo.

ySense

Unataka kupata pesa zaidi mtandaoni? Jiunge na ySense sasa na uanze kupata pesa kwa shughuli zako mtandaoni, ikijumuisha: uchunguzi unaolipwa, kutembelea tovuti, kununua bidhaa kwenye mtandao, zawadi za bure, na mengineyo. Unapohifadhi hadi $10, unaweza kuzitoa kupitia PayPal au njia nyingine mbadala kwa nchi yako.

Jiunge sasa
Jisajili bure katika TGM Panel na upate pesa kwa kila uchunguzi unaokamilisha.

TGM Panel

Jisajili bure katika TGM Panel na upate pesa kwa kila uchunguzi unaokamilisha. Jiandikishe sasa na utusaidie kufanya soki ya ulimwengu kuwa bora kwa kushiriki kwenye uchunguzi unaolipwa! Jiunge na TGM Panel, jukwaa la utafiti wa masoko litakalokupa nafasi ya kujieleza. Makampuni kutoka kote dunia yanakusubiri, mteja, ili uwaeleze kinachokuridhisha na kisichokufurahisha. Usiketi chini ukizembea wakati dunia inabadilika, shiriki katika uchunguzi wetu unaolipwa! Tunaunda uchunguzi wetu kuwa wa kufurahisha na rahisi kujaza. Uchunguzi wetu pia utakusaidia kukuwa wewe kama mteja. Unachohitaji kufanya ni uwe na uwezo wa kupata kifaa chochote na mtandao!

Kenya
Jitafutie uchunguzi haraka. Hauhitaji kujisajili kukamilisha uchunguzi. Jiunge na huduma yetu na uanze kupata pesa na surveyo24.com.

surveyo24

Jitafutie uchunguzi haraka. Hauhitaji kujisajili kukamilisha uchunguzi. Chagua uchunguzi tu, ingiza barua pepe yako na taarifa za msingi. Pia tutakutumia mialiko kupitia barua pepe.
Kila uchunguzi unaokamilishwa kwa mafanikio huongeza alama kwenye akaunti yako ya synorewards.com. Nambari halisi ya pointi za kukamilisha uchunguzi hujulikana kabla ua kuuanza. Kwa hivyo, amua ni gani utakayoichukua! Kusanya angalau alama 500 na uzibadilishe kuwa pesa au zawadi katika synorewards.com. Jiunge na huduma yetu na uanze kupata pesa na surveyo24.com.

Tanzania
Jiunge na Jopo la Uchunguzi Unaolipwa kwa Wateja wa e-Research-Global.com na upate pesa.

e-Research-Global

Jiunge na Jopo la Uchunguzi Unaolipwa kwa Wateja wa e-Research-Global.com na upate pesa. Wanachama wanaweza kushiriki katika uchunguzi unaolipwa mtandaoni (hojaji mtandaoni), kikundikazi mtandaoni na kulipwa kufanya majaribio ya bidhaa mpya. Kwa uchunguzi uliokamilishwa, malipo yatakuwa pesa. Kiasi cha malipo ya pesa hubadilika kulingana na wakati na ugumu wa uchunguzi unaolipwa mtandaoni. Tunalipa kwa kutumia PayPal. Ikiwa hakuna PayPal katika nchi yako tunatumia Payza.com.

kujisajili
Mfumo unaongoja leseni wa TraitScoreSM wa kampuni ya PaidViewpoint ulianzishwa kutathmini uwazi na upatano wa majibu ya uchunguzi na kuchochea sifa hizi.

PaidViewpoint.com

Mfumo unaongoja leseni wa TraitScoreSM wa kampuni ya PaidViewpoint ulianzishwa kutathmini uwazi na upatano wa majibu ya uchunguzi na kuchochea sifa hizi. Katika upana wa nambari ya uchunguzi tunakubalisha wanachama wa PV kujibu kila mwezi, tunawapa wanachama wenye alama ya juu zaidi ya TraitScores (alama za sifa). Malipo kwa kila uchunguzi pia ni ya juu kulingana na TraitScoreSM yako. Malipo ya pesa hufanywa kupitia akaunti yako ya PayPal.

kujisajili
PrizeRebel.com ndio mahali #1 kwa uchunguzi unaolipwa mtandaoni. Tunataka kukusaidia kupata pesa ukiwa nyumbani na ulipwe kwa kutoa maoni yako!

PrizeRebel

PrizeRebel.com ndio mahali #1 kwa uchunguzi unaolipwa mtandaoni. Tunataka kukusaidia kupata pesa ukiwa nyumbani na ulipwe kwa kutoa maoni yako! Kutoka mwaka wa 2007, tumekuwa kipaumbele kwenye tovuti za uchunguzi wa masoko unaolipwa mtandaoni. Na orodha kubwa ya uchunguzi na mchakato wa kutoa malipo wa haraka, huwa tunalipana maelfu ya madola pesa taslimu kila siku na tunajikaza kutoa huduma bora zaidi kwa wanachama wetu.

kujisajili
Swagbucks.com ndio programu ya mtandaoni iliyo na umaarufu zaidi kutoa kadi za zawadi na pesa kwa vitu za kawaida unazozifanya kwenye mtandao. Pata alama unaponunua kutoka kwa muuzaji unayempenda, tazama video za kufurahisha, tafuta mtandaoni, jibu uchunguzi na upate mikataba bora.

swagbucks

Swagbucks.com ndio programu ya mtandaoni iliyo na umaarufu zaidi kutoa kadi za zawadi na pesa kwa vitu za kawaida unazozifanya kwenye mtandao. Pata alama unaponunua kutoka kwa muuzaji unayempenda, tazama video za kufurahisha, tafuta mtandaoni, jibu uchunguzi na upate mikataba bora. Komboa alama zako kwa kadi za zawadi kwa wauzaji unaowapenda kama Amazon na Walmart au upate pesa kupitia Paypal. Swagbucks tayari imelipa zaidi ya pesa na kadi za zawadi zenye dhamana ya $350,000,000. Weka pesa kwenye kipochi chako. Jiunge leo bila malipo.

kujisajili
Jibu fupi ni kupata alama 20 (spiderPoints) kwa kila kadirio kamili ya tovoti unayofanya. Pia kuna Mitihani. Majaribio, Maswali ya kujibu haraka, Uchunguzi, na hojaji zinginezo ambazo zina dhamana ya chochote kutoka pointi 1 hadi 10.

spiderMetrix

Jibu fupi ni kupata alama 20 (spiderPoints) kwa kila kadirio kamili ya tovoti unayofanya. Pia kuna Mitihani. Majaribio, Maswali ya kujibu haraka, Uchunguzi, na hojaji zinginezo ambazo zina dhamana ya chochote kutoka pointi 1 hadi 10. Baadhi ya uchunguzi huwa na kiziwa cha zawadi, ambapo unaweza kushinda hadi pointi 100. Lakini hizi zote hufifia ukilinganisha na alama za spiderPoints unazoweza kupata unapo'kua' kuwa Buibui wa Aina ya juu (higher Spider Species).

kujisajili
Wewe ni mwanachama wa klabu, anayetoa maoni yake kwenye uchunguzi wa kila siku mtandaoni. Kwa kila mara unaposhiriki katika uchunguzi, utalipwa ipasavyo.

OnlinePanel

Wewe ni mwanachama wa klabu, anayetoa maoni yake kwenye uchunguzi wa kila siku mtandaoni. Kwa kila mara unaposhiriki katika uchunguzi, utalipwa ipasavyo. Kila jukumu linalokamilishwa litalipwa pesa. Unapata hadi 4 US$ kwa kila uchunguzi au jukumu lililokamilishwa. Klabu cha uchunguzi hutoa shughuli mbalimbali zinazofurahisha na kuchocheleza za kutumia na kulipwa katika lugha yako, kama vile: kukamilisha majukumu, kujaribu zana tumizi, kugundua miktaba na mengine mengi. Kila jukumu lililokamilishwa litalipwa!
Unapotimiza upeo wa malipo ambao ni alama 10,000, iliyo sawa na 10 US$ au ubadilishwe kwenye hela za nchi yako kwa mfano, Euro, unapokea malipo moja kwa moja. Unahitaji akaunti ya PayPal kupokea malipo yako.

Jiunge sasa
Tangu ilipoanzishwa mwaka wa 2000, jamii ya SurveySavvy imekua hadi zaidi ya watu milioni 3 katika mataifa 190 wanaopata pesa kwa kushiriki katika uchunguzi mtandaoni.

SurveySavvy

Tangu ilipoanzishwa mwaka wa 2000, jamii ya SurveySavvy imekua hadi zaidi ya watu milioni 3 katika mataifa 190 wanaopata pesa kwa kushiriki katika uchunguzi mtandaoni. SurveySavvy imelipa pesa zaidi kwa wanachama wetu kuliko kampuni ya utafiti wa masoko mtandaoni nyingine yoyote (zaidi ya dola milioni $5 pesa taslimu). Je, wewe si mwanachama wa SurveySavvy? Jiunge sasa.

kujisajili
American Consumer Opinion - Shiriki uchunguzi ulipwe.

American Consumer Opinion

Wanachama wote waliojisajiri hushiriki katika droo ya kila mwezi kushinda zawadi za pesa dola $250, kwa kuwa mwanachama tu. Unapojibu hojaji fupi, utaingizwa kwenye droo ya kushinda pesa. Ukishiriki katika uchunguzi, pia utapokea aina ya kichochezi. Vichochezi kwa kawaida huwa na dhamana ya kutoka $4 hadi $50. Shiriki uchunguzi ulipwe.

kujisajili
Brand Institute ni kampuni ya uchunguzi wa masoko yenye uzoefu wa kipekee katika utafiti wa madawa na masoko ya wateja. Wateja wenye demografia tofauti, madaktari kutoka taaluma fulani na wataalum wengine wa kiafya wamekaribishwa.

Brand Institute

Brand Institute hutoa jopo lililo kubwa zaidi la wataalam na hadhira ya wateja wahojiwa ya kimataifa kwa viwanda vyote. Brand Institute ni kampuni ya uchunguzi wa masoko yenye uzoefu wa kipekee katika utafiti wa madawa na masoko ya wateja. Wateja wenye demografia tofauti, madaktari kutoka taaluma fulani na wataalum wengine wa kiafya wamekaribishwa. Malipo ya pesa hufanywa kupitia akaunti yako ya PayPal.

kujisajili
Shiriki fikira, maoni, na mapendekezo kwa kushiriki katika mahojiano ya uchunguzi mtandaoni na uchunguzi wa kisayansi. Unapokamilisha, utapokea $7 hadi $25.

Technology Advisory Board

Shiriki fikira, maoni, na mapendekezo kwa kushiriki katika mahojiano ya uchunguzi mtandaoni na uchunguzi wa kisayansi. Unapokamilisha, utapokea $7 hadi $25.

Jiunge sasa

UCHUNGUZI UNAOLIPWA

Ninaweza kupata pesa kiasi gani?
Uwezekano wa mapato yako unalingana na nambari, aina, na muda wa uchunguzi unaoupata. Aina na marudio ya uchunguzi unaopata hulingana na mahitaji ya kampuni. Hasaa kampeni walizo nazo, kwa hivyo unaweza kupata nyingi mwezi mmoja na ukapata chache mwezi ufuatao. Uchunguzi wa kawaida huchukua dakika 10 hadi 30 kukamilisha, na utafiti unaolipa pesa hukuzawadi $1 hadi $10 au zaidi kwa kila utafiti unaoukamilisha. Wengine wanaweza kukupa zawadi ya cheti au kukuingiza kwenye mashindano ya pesa au zawadi.

Je, nitalipwa kwa njia gani baada ya kushiriki?
Kwa kawaida utalipwa kwa cheki wiki chache baadaye. Wakati mwingine machaguo mengine ya kupokea malipo kama vile PayPal hupatikana. Wakati mwingine zawadi ya cheti au bidhaa ndizo vichochezi vya uchunguzi, baada ya kukamilisha uchunguzi, maelezo kuhusu wakati na jinsi zawadi yako itakavyowasilishwa hutolewa.

Wanaofanya uchunguzi wanaweza kupata mapato mazuri ya ziada.
Kama nafasi nyingine yoyote mtandaoni, inachukua muda na bidii ili kupata mapato mazuri kupitia uchunguzi. Njia mojawapo ya kuendesha kwa ufanisi kazi ya kufanyia nyumbani ni kwa kutafuta njia nyingi za kuweza kupata mapato. Kila njia inaweza kukupa dola chache tu kila mwezi, lakini ukiwa na njia nyingi na za kutosha za kukupa mapato, utapata kuwa unaweza kupata mapato mazuri ya ziada. Uchunguzi unaolipwa unaweza kukupa njia bora ya kupata mapato, ambayo itaendelea kukua unapokuwa na maarifa na uzoefu zaidi nao.

Jinsi unavyojaza au kushiriki uchunguzi mwingi, ndivyo pesa unazoweza kupata zinavyoongezeka.
Hili silo "gari la bure" unapopata "kitu bila malipo " – ni njia ambayo unaweza kufanya kazi ukiwa na uhuru wa kufanya kazi wakati na mahali unapotaka. Nambari ya uchunguzi unaofanya inalingana na nambari ya kampuni unazojisajili nazo, kiwango cha habari unayowapa, na "umbo" yako binafsi. Uchunguzi mwingine huwa mahususi sana na sio kila mtu "atakayefuzu" kufanya kila uchunguzi. Kwa mfano, uchunguzi fulani unaweza kuwa wazi kwa wanawake walio kati ya umri wa 25 hadi 45 wanaoishi Canada. Uchunguzi mwingine unaweza kuwa wazi tu kwa wanaume ambao hawajaoa na wanatumia marashi, n.k. Kwa hakika, uchunguzi mwingi huwa wa kijumla na mtu yeyote anaweza kuufanya. Mwishoni, kuna nafasi nyingi za kufanya uchunguzi kwa kila mtu. Haijalishi kama wewe ni wa kiume au wa kike, unaishi Marekani au la, ni mwanafunzi wa chuo kikuu au una kazi ya kufanya wakati wote, n.k. Hakuna "umbo" moja ambalo hustahili mara kwa mara kupata kufanya uchunguzi kushinda zingine.

Kiwango cha uchunguzi utakaofanya, na mapato utakayoyapata italingana na wakati na bidii unayoitia kwenye uchunguzi.
Wastani wa mapato ya mwezi utalingana na kila mtu binafsi, na bidii anayoifanya. Mtu ambaye huangalia barua pepe yake mara kwa mara na kujibu mialiko ya kufanya uchunguzi haraka, au huingia kwenye sehemu ya wanachama kuona uchunguzi mpya ulioko mara kwa mara atapata mapato zaidi ya mtu ambaye huingia kwenye sehemu ya wanachama mara moja tu kwa wiki. Mapato kwa asilimia 100% hutegemea bidii ya mtu binafsi na uangalifu kwa toleo za uchunguzi. Watu wengi hukuwa wanajopo kushiriki maoni yao na vile vile kulipwa kufanya uchunguzi mtandaoni. Kufanya uchunguzi bure unaolipwa mtandaoni ni njia nzuri ya kupata pesa za ziada na inafurahisha zaidi kuliko njia zingine za kupata pesa mtandaoni kwa sababu hakuna kitu unachokitumia ilhali unalipwa kufanya uchunguzi unaolipwa mtandaoni, hiyo ni pesa ya bure asilimia 100%.

Ikiwa utatenga kiasi kidogo cha muda kwa kazi ili ishike mwendo, utapata njia nzuri ya kupata mapato.
Kuwa na uhalisi katika malengo yako na usitarajie kuwa tajiri haraka. Uchunguzi mtandaoni sio njia ya kuwa tajiri haraka, lakini unaweza kufuzu na kupata pesa zaidi za kutumia (zawadi na kadi za zawadi pia), unapojisajili na baadhi ya mashirika mazuri ya utafiti. Uchunguzi bado unastahili kupewa muda wako.

Uzoefu wa kila mtu hutofautiana kidogo.
Hakuna jinsi ambavyo sisi au mtu mwingine yeyote anaweza kukueleza kihalisi nambari ya uchunguzi utakaoshiriki au kiasi cha pesa utakachopata. Tunachopendekeza ni kuwa ikiwa hili ni jambo unalolipendelea, jaribu na uone matokeo. Hakuna hasara yoyote...